English
Diabetes
What is diabetes? Diabetes is a disease in which the body does not produce or properly use insulin.
What is insulin? Insulin is a hormone made by your pancreas. It helps glucose move from your blood into your cells, so your body can use it for energy. People cannot live without insulin.
Types of Diabetes
- With type 1 diabetes, the pancreas makes no insulin. It has nothing to do with your weight and it is not currently possible to prevent it. Approximately 5-10% of people with diabetes worldwide have type 1 diabetes.
- With type 2 diabetes, the more common type, the pancreas does not make enough insulin, or your body is not able to use the insulin the pancreas makes. Without enough insulin, the glucose stays in your blood. Approximately 90% to 95% of people with diabetes worldwide have type 2 diabetes.
- With diabetes during pregnancy, called gestational diabetes, the mother is not able to make enough insulin to cover the needs of both mother and baby.
- With prediabetes, your glucose is higher than normal, but not high enough to be called diabetes. Prediabetes raises your risk for type 2 diabetes, heart disease, and stroke. The good news is that type 2 diabetes can be prevented or delayed with lifestyle changes, such as losing weight, eating healthy food, and being active.
Signs of Diabetes
Everyone responds differently to diabetes. Some of the common warning signs are:
- Having to go to the bathroom often to pass urine
- Feeling thirsty, even though you are drinking fluids
- Losing weight
- Blurry vision
- Healing is slow for cuts or scrapes on your skin
- Feeling tired
- Feeling hungry
- Being irritable or grumpy
- Unexplained frequent and recurrent infections
Often people may not notice any signs of diabetes. One in four people with diabetes doesn’t know they have it. If you have any of these signs of diabetes, ask your doctor for a blood test to check your glucose level.
The most important blood tests are a fasting blood sugar and an A1C.
- A fasting plasma glucose (FPG) test, also called fasting blood glucose, measures blood sugar. You will need to fast, so you are not able to eat or drink anything except for water for at least 8 hours before the test.
- An A1C test, also called the hemoglobin A1C, HbA1c, or glycohemoglobin test, measures blood sugar over the last 2 to 3 months.
You are at risk of type 2 diabetes if you have one or more of the following factors:
- Have prediabetes.
- Are overweight.
- Are 45 years or older.
- Have a parent, brother, or sister with type 2 diabetes.
- Are physically active less than 3 times a week.
- Have ever had gestational diabetes (diabetes during pregnancy)
- Have high cholesterol
Your Care
The goal is to keep your glucose level as near to normal as possible. Your care may include: • Planning meals • Testing glucose levels • Learning signs to know when your glucose level is too low or too high • Exercising • Maintaining a healthy weight • Taking medicine – insulin or pills • Keeping all appointments with your health care team • Attending diabetes education classes
Talk to your doctor, nurse, dietitian, and pharmacist to learn how to manage your diabetes.
French
Le diabète
Qu’est-ce que le diabète? Le diabète est une maladie dans laquelle le corps ne produit pas d’insuline ou ne l’utilise pas correctement.
Qu’est-ce que l’insuline? L’insuline est une hormone fabriquée par votre pancréas. Elle aide le glucose à passer de votre sang à vos cellules, afin que votre corps puisse l’utiliser comme source d’énergie. Les gens ne peuvent pas vivre sans insuline.
Types de diabète
- Avec le diabète de type 1, le pancréas ne produit pas d’insuline. Il n’a rien à voir avec votre poids et il n’est pas actuellement possible de le prévenir. Environ 5 à 10 % des personnes atteintes de diabète dans le monde ont le diabète de type 1.
- Avec le diabète de type 2, le type le plus courant, le pancréas ne produit pas suffisamment d’insuline ou votre corps n’est pas en mesure d’utiliser l’insuline produite par le pancréas. Sans suffisamment d’insuline, le glucose reste dans votre sang. Environ 90% to 95% des personnes atteintes de diabète dans le monde ont le diabète de type 2.
- Avec le diabète pendant la grossesse, appelé diabète gestationnel, la mère n’est pas en mesure de fabriquer suffisamment d’insuline pour couvrir les besoins de la mère et du bébé.
- Avec le prédiabète, votre glycémie est supérieure à la normale, mais pas suffisamment élevée pour être qualifiée de diabète. Le prédiabète augmente le risque de diabète de
type 2, de maladie cardiaque et d’accident vasculaire cérébral. La bonne nouvelle est que le diabète de type 2 peut être évité ou retardé grâce à des changements de mode de vie, comme la perte de poids, une alimentation saine et l’activité physique.
Les signes du diabète
Tout le monde réagit différemment au diabète. Certains des signes avant-coureurs courants sont :
- Devoir souvent aller aux toilettes pour uriner
- Avoir soif, même si vous buvez des liquides
- Perdre du poids
- Vue floue
- Guérison lente des coupures ou des égratignures sur la peau
- Sensation de fatigue
- Sensation de faim
- Être irritable ou grincheux
- Infections fréquentes et récurrentes inexpliquées
Souvent, les gens ne remarquent aucun signe de diabète. Une personne sur quatre atteinte de diabète ne le sait pas. Si vous présentez l’un de ces signes de diabète, demandez à votre médecin qu’il vous prescrive une analyse de sang pour vérifier votre glycémie.
Les tests sanguins les plus importants sont une glycémie à jeun et un A1C.
- Un test de glycémie à jeun (FPG), également appelé glycémie à jeun, mesure la glycémie. Vous devrez jeûner et vous ne pourrez donc ni manger ni boire quoi que ce soit, sauf de l’eau, pendant les 8 heures qui précèdent le test.
- Un test A1C, également appelé test d’hémoglobine A1C, HbA1c ou hémoglobine glyquée, mesure la glycémie au cours des 2 à 3 derniers mois.
Vous êtes à risque de diabète de type 2 si vous avez un ou plusieurs des facteurs suivants:
- Vous avez le prédiabète
- Vous êtes en surpoids ou obèse
- Vous avez 45 ans ou plus
- Vous avez des antécédents familiaux de diabète de type 2 (chez les parents, frères ou sœurs)
- Vous êtes physiquement actifs moins de 3 fois par semaine
- Avez-vous déjà eu un diabète gestationnel (diabète pendant la grossesse)
- Vous avez un taux de cholestérol élevé
Vos soins
L’objectif est de maintenir votre taux de glucose aussi proche de la normale que possible. Vos soins peuvent inclure : •Planification des repas •Tester les niveaux de glucose •Reconnaître les signes qui indiquent si votre taux de sucre est trop bas ou trop élevé •Faire de l’exercice •Maintenir un poids santé •Prendre des médicaments – insuline ou pilules •Respecter tous les rendez-vous avec votre équipe soignante •Participer à cours d’éducation sur le diabète
Parlez à votre médecin, votre infirmière, votre diététicien et votre pharmacienpour apprendre à gérer votre diabète.
Swahili
Kisukari au Ugonjwa wa Kisukari
Kisukari ni nini? Kisukari ni ugonjwa unaosababisha mwili kutoweza kujifanyia au kutokuwa na matumizi ya kutosha ya insulini.
Insulini ni nini? Insulini ni homoni inayozalishwa na kongosho chako. Husaidia sukari (glukosi) kusonga kutoka kwenye damu kwenda kwenye seli zako, ili mwili wako aweze kuitumia kwa nguvu. Watu hawawezi kuishi bila insulini.
Aina za Kisukari
- Kwa kisukari Aina ya Kwanza (1), kongoshohaifanyi insulini. Haina uhusiano wowote na uzito wako na kwa sasa haiwezekani kuizuia. Karibu 5% hadi 10% ya watu walio na ugonjwa wa kisukari duniani wana ugonjwa wa kisukari cha aina ya 1.
- Kwa kisukari Aina ya Pili (2), aina iliyo ya kawaida zaidi, kongosho haitengenezi insulini ya kutosha au mwili wako hawezi kutumia insulini ambayo kongosho huleta. Bila insulini ya kutosha, sukari hubaki kwenye damu yako. Karibu 90% hadi 95% ya watu wenye ugonjwa wa kisukari duniani wana aina ya kisukari 2.
- Kwa kisukari cha ujauzito au mimba, mama hana uwezo wa kutengeneza insulini ya kutosha kukidhi mahitaji ya mama na mtoto.
- Kwa kipindi cha kabla ya kisukari, viwango vya sukari ya damu ni vya juu kuliko kawaida, lakinisi juu ya kutosha kuitwa kisukari. Kuwa na “kipindi cha cha kabla ya kisukari” huongeza hatari ya maendeleo ya ugonjwa wa kisukari cha aina ya 2, hatari ya ugonjwa wa moyo, na hatari ya kiharusi. Habari nzuri ni kwamba kisukari cha aina ya 2 inaweza kuzuiwa au kucheleweshwa na mabadiliko ya mtindo wa maisha, kama vile kupoteza uzito, kula chakula cha afya, fanya mazoezi mara kwa mara.
Dalili za ugonjwa wa kisukari
Kila mtu anajibu (humenyuka) tofauti na ungojwa wa kisukari. Baadhi ya ishara za kawaida za tahadhari za ugonjwa wa kisukari ni:
- Kulazimika kwenda chooni mara kwa mara ili kupitisha mkojo
- Kusikia kiu sana, ingawa unakunywa maji
- Kupoteza uzito
- Maono hafifu
- Mshiko wa kuponya ni polepole kwa majeruhi au kwa mikwaruzo kwenye ngozi yako
- Ninahisi uchovu
- Kusikia njaa sana
- Kuwa na hasira or kuwa na huzuni
- Maambukizi ya mara kwa mara yasiyoelezewa
Watu mara nyingi hawaona dalili za kisukari. Mmoja kati ya watu wanne wenye ugonjwa wa kisukari hawaelewi kuwa wanao. Ikiwa una dalili hizi za ugonjwa wa sukari, omba daktari wako kufanya mtihani wa damu ili kuangalia kiwango chako cha sukari.
Vipimo muhimu zaidi vya damu ni sukari ya damu ya kufunga kwa tumbo tupu na kipimo cha A1C.
- Mtihani wa sukari ya damini kwa tumbo tupu, pia huitwa glukosi ya damu bila kula, hupima sukari ya damu. Utahitaji kufunga, kwa hiyo huwezi kula au kunywa kitu chochote isipokuwa maji kwa angalau masaa 8 kabla ya mtihani wa damu.
- Mtihani wa A1C, pia huitwa mtihani wa Hemoglobini ya A1C, HbA1c, au mtihani wa Glykated Hemoglobin, hupima sukari ya damu kwa kipindi cha miezi 2 hadi 3 iliyopita.
Uko hatarini kupata ugonjwa wa kisukari cha aina ya 2 ikiwa una moja au zaidi ya sababu zifuatazo:
- Una kipindi cha kabla ya kisukari
- Una uzito kupita kiasi au unene
- Una miaka 45 au zaidi
- Una mzazi, kaka, au dada mwenye kisukari cha aina ya 2
- Unafanya mazoezi ya mwili chini ya mara 3 kwa wiki
- Umewahi kuwa na kisukari wakati wa ujauzito
- Una kiwango cha juu cha kolesteroli
Utunzaji wako
Kusudi ni kuweka kiwango chako cha sukari karibu na kawaida iwezekanavyo. Utunzaji wako unaweza kujumuisha: • Kupanga milo ya chakula •Kupima viwango vya sukari •Jifunze dalili za kujua kiwango chako cha sukari kikiwa chini au juu •Kufanya mazoezi •Kudumisha uzito wenye afya kiadili •Kuchukua dawa – insulini au vidonge •Tembelea timu yako ya afya ya ugonjwa wa kisukari kupata uangalizi wa mara kwa mara •Kuhudhuria madarasa ya elimu ya kisukari
Ongea na daktari wako, muuguzi, mtaalamu wa lishe, na mfamasia ili ujifunze jinsi ya kudhibiti ugonjwa wako wa kisukari.
Our Services
AIDSM offers diabetes education and support in a group or individual setting covering the following topics:
- Diabetes overview
- Nutritional management
- Exercise and activity
- Medication
- Self-monitoring blood glucose
- Acute and chronic complications
- Psychosocial issues
- Setting behavioral goals and resources